Image for Teksi ya Tinder - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Teksi ya Tinder - Hadithi Fupi ya Mapenzi

Lea Lind, Lind- Lust, Lust(Translated by)
See all formats and editions

"Tunaendesha gari usiku wa manane. Ninaruhusu vidole vyangu kucheza na matiti yangu, kwenye tumbo langu na chini ya vazi langu.

Ninahisi mapigo ya moyo wangu yakifanya ngozi yangu kugonga." Wakati unajipata unachoweza kufikiria tu siku baada ya sherehe ya kipekee ya Siku yako ya kuzaliwa ya 30 ni jinsi unahitaji kutiwa hadi uridhike, ni wakati wa kuchukua hatua.

Hawezi kusubiri tena. Anataka kufanya mapenzi, hata kama haihusishi kitu chochote.

Inapaswa kuwa imejawa na hisia kali na inapaswa kufanyika sahii.

Anauza zawadi yake inayogharimu zaidi ya Siku yake ya kuzaliwa na kuagiza teksi.

Anakoelekea ni kwa yeyote yule atakelingana na yeye kwanza kwenye Tinder...

Hadithi hii fupi imechapishwa kwa kushirikiana na Mtayarishaji filamu wa Uswidi, Erika Lust.

Lengo lake ni kuonyesha hali na utofauti wa mwanadamu kupitia uchu, vitendo vya kimapenzi, ashiki na upendo kwa kuchanganya na hadithi nzito na za kutia ashiki.

Read More
Title Unavailable: Withdrawn
Product Details
Saga Egmont International
872621654X / 9788726216547
Ebook
11/09/2019
Swahili
15 pages