Image for Pesa Zako Zinanuka

Pesa Zako Zinanuka

See all formats and editions

Mwandishi mmoja mashuhuri hapa duniani aliwahi kuandika katika kitabu chake, 'No Money Smells', kwamba hakuna pesa zinazonuka.

Lakini mwandishi wa riwaya hii anadai "zipo, na zanuka".

Ni pesa zipi hizi? Na vipi zinuke? Hii ni riwaya nzito ya kihistoria. Mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga, huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi.

Hata anakutana na huyu ambaye anaambiwa: "Umemuua mwanao ...

Lazima umle ... " Ni riwaya ambayo itakutoa machozi!

Read More
Available
£16.00
Add Line Customisation
Available on VLeBooks
Add to List
Product Details
9966565965 / 9789966565969
eBook (EPUB)
07/05/1984
Swahili
162 pages
Copy: 10%; print: 10%