Image for Ninapenda kula matunda na mboga: Kiswahili

Ninapenda kula matunda na mboga: Kiswahili

See all formats and editions

Jimmy, sungura mdogo, anapenda kula peremende. Anajipenyeza jikoni kutafuta begi lenye peremende lililokuwa limefichwa ndani ya kabati.

Nini kinatokea baada ya Jimmy kupanda juu ili kufikia mfuko wa peremende?

Utajua unaposoma kitabu hiki cha watoto lenye michoro.

Tangu siku hiyo, anaanza kustawisha mazoea ya kula vizuri na hata anapenda kula matunda na mboga zake

Read More
Special order line: only available to educational & business accounts. Sign In
£22.00
Product Details
KidKiddos Books
1525980742 / 9781525980749
eBook (EPUB)
03/11/2023
Canada
34 pages
Copy: 10%; print: 10%