Image for Mama yangu ni poa

Mama yangu ni poa

See all formats and editions

Katika hadith hii ya kusisimua ya wakati wa kulala, msichana mdogo anamzungumzia mama yake kwa nini ni mzuri.Tunamwona akipitia siku yake akiwa amebeba hisia mwanana kuhusu mama yake.Mama mara zote anajua jinsi anavyohisi na anaweza kumsaidia katika kila tatizo.

Mama anaweza kusuka mitindo migumu na anaeleza kuhusu sehemu; Mama anaweza kumsaidia kuamka nasubuhi na kumkumbatia akiwa hana furaha.

Kwa mifano vielelezo na ujumbe kwa kila atakayehusianisha ,hiki ni kitabu sahihi kwa watoto na mama zao

Read More
Available
£22.12
Add Line Customisation
Available on VLeBooks
Add to List